Loading...
Mkataba wa Watu wa Dunia [Charter of the Peoples of the Earth]
"Forum for a New World Governance (FnWG) Citizens Regional Assemblies"
"Forum for a New World Governance (FnWG) Citizens Regional Assemblies"
Contributor(s)
GE Subjects
Collections
Files
Research Projects
Organizational Units
Journal Issue
Online Access
Abstract
"Mkataba ufuatao ndio mpango wa kwanza na mwaliko wa kuzungumza. Inaweza kuimarishwa, kurekebishwa, na kubadirishwa kulingana na mahitaji na mazungumzo yanayofanyika katika mfumo wa maandalizi ya Mkutano wa Dunia wa 2012 na baadaye. Nakala inaangazia juu ya Mkataba wa Uhuru (Freedom Charter) wa kihistoria, a mbao ulizaliwa Mjini wa Afrika Kusini, na kwamba umekuwa bendera kwa ajili ya harakati za kup ambana na ubaguzi wa rangi (anti-apartheid) na uliopitishwa mwaka wa 1955 na Shiriki sho la Watu (Congress of the People). Mkataba uliandikwa na timu ya uratibu ya Jukwaa la Utawala mpya wa Dunia (Forum for a new World Governance) na Mikoa ya Bunge za Raia (Citizens Regional Assemblies), kwa kushiriki na kuhusika katika harakati za watu zinazoendelea kati ka bara mbalimbali." ["The following Charter is the first initiative and an invitation to talk. It can be enhanced, modified, reformulated according to the needs and the talks being held within the framework of the preparation of the 2012 Earth Summit and afterwards. The text draws on the historical Freedom Charter, which was born in South Africa, and that has been a banner for the anti-apartheid movement and adopted in 1955 by the Congress of the People. The Charter was written by the coordination teams of the Forum for a New World Governance and the Citizens Regional Assemblies, engaged and participating to the People's movements running in different continents."]
Note(s)
Topic
Type
Preprint
Date
2011-01
Identifier
ISBN
DOI
Copyright/License
With permission of the license/copyright holder